"Habari zilizopewa uzito"
Habari Mbali mbali

FORD UK WATOA MICHUMA YA UKWELI KUWAZIDI TOYOTA JAPAN

Kama mlivyosikia, TOYOTA wameanza kuhangaika kwani magari yao kila kukicha yana matatizo.

Tuliona walipoziita Prius Zote, na sasa wameita zingine milioni sita kwani zina matatizo ambayo yanaweza kusababisha ajali mbaya barabarani.

Wakati uliopita niliwahi kuwaasa kuwa magari kutoka UK ni bora na nafuu kuliko yale ya JAPAN na wengi mlinipinga hapa

Leo nataka niwape somo kuhusu baadhi tu ya magari yanayotengenezwa na FORD kiwanda kilichopo EAST LONDON - DAGENHAM.

Ford wanatengeneza aina nyingi ya models na mojawapo ambazo zinatamba sana ni Mondeo, Focus, Fiesta na Grand C- max

Mimi nimefanikiwa kujinunulia Grand C- Max hivi karibuni kwa ajili ya familia na nimegundua kuwa na gari nzuri sana, cheap to run na zina teknoloji ya hali ya juu, Pia ina nafasi kubwa ya seats saba ndani.

Ford zote mpya zimefungwa accident sensors ambapo kama una reverse halafu unakaribia kugonga sio tu litabeep bali litakata mafuta kama masikio yako hayasikii alarm na litasimama lenyewe. 

Ford zote mpya zimefungwa text message reader ambapo kama ukitumiwa sms sio lazima uwashe simu usome, unabonyeza kitufe tu inakusomea (kazi kwako kama sms imetoka ....)

Ford zote mpya zina aloy wheel kwa hiyo hakuna ma wheel cape.

Ford nyingi ni hybrid kwa hiyo wese halitumiki kabisa

Usafiri wa gari kutoka UK ni £700 wakati kutokajapan ni madola kibao ..

Ukitaka hizi gari tembelea mtandao huu utayaona mengi tu kwa bei nafuu

Used FORD FOCUS Car for Sale - Auto Trader UK

Share and Enjoy:

0 comments for this post

Leave a reply

Pata Habari papo kwa hapo
Weka anuani pepe yako hapa ili upate habari punde tunapo ziweka katika EAfrican Blog!
Subscribe via RSS Feed subscribe to feeds
wadhamini
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Popular Posts
Recent Stories
Ukurasa wetu wa Facebook
Wadhamini
Search
Archives
Blog Archives
Recent Comments
Tag Cloud