Home » Archives for April 2014
JIWE LA KUANZIA UWANJA WA J.K NYERERE DAR-ES- LAAM
Rais Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks alipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe.
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk.Charles Tizeba
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchukuzi Mhe Peter Serukamba
Rais akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa
Rais Kikwete akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kipawa, Mhe Bonnah Kaluwa
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mama Monica Mwamunyange.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa maofisa waandamizi wa mamlaka ya viwanja vya ndege
Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wakiwa wameupuna kwenye hafla hii
Burudani
Wadau mbalimbali akiwemo mkongwe Paul Lyimo (kuli) kwenye hafla hii
Taswirazzz
Wadau
Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Kuhudumia ndege, abiria na mizigo ya Swissport Tanzania Tanzania Limited, Gaudence Temu (kulia) na wadau wengine
Sehemu ya wadau
Wadau mbalimbali
Maofisa mbalimbali wa huduma za viwanja vya ndege
Wadau
Wadau
Rais Kikwete na viongozi wengine katika meza kuu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Mhandisi Suleiman Suleiman akikaribisha wageni
Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Wajenzi na Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege na wajenzi
Wadau wa Kipawa
Wadau wa Kipawa na vitongoji vyake
Wadau wa Kipawa
Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akimkaribisha mgeni rasmi
Rais Kikwete akihutubia
Jinsi Terminal III ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere utavyoonekana baada ya ujenzi wake kukamilika mwaka 2016
Popular Posts
-
Na Yericko Nyerere (Mwanahalisi Forum) Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu a...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Muss...
-
Niliwahi kutoa ahadi kuwa nitaweka sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa kama Rais ambaye T...
-
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma na ku...
-
THE Monduli Constituency MP, Edward Lowassa (b. Aug. 26,1953), has been causing a political storm of gargantuan proportions across the Tan...
-
Teller Ref No. UTT -MFI/TL/0414/15 Company:UTT Microfinance Plc Location:Dar Es Salaam POSITION DESCRIPTION: The UTT Microfinance Plc now i...
-
The jet, christened ‘The Great Rift Valley’ is the first of six 787s which Kenya Airways has ordered as part of its mordernisation ...
-
A list of famous people, chosen mainly from the Ninenteenth, Twentieth or Twenty First Century. This list includes famous actors, politici...
-
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimestushwa na kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kuivunja mapema Tume ya Mabadiliko ya Katiba n...
Kuhusu sisi
Powered by Blogger.
Recent Stories
Ukurasa wetu wa Facebook
Wadhamini
Blog Archives
Recent Comments
Tag Cloud





















































