"Habari zilizopewa uzito"
Habari Mbali mbali

AGIZO LA KINANa KWENYE MASHAMBA..!!!

Kauli ya Kinana kuhusu shamba la Efatha lililoko Sumbawanga inaonekana kama vile ina msukumo wa Udini. Nasema hivyo kwa sababu kwa muda mrefu sana wananchi wa LOLIONDO NA NGORONGORO wamelalamikia kunyanganywa ardhi yao malaki ya ekari lakini serikali imefumba macho na kuziba masikio. Lakini leo cha ajabu ati Kinana anajiapiza kuwa atahakikisha kuwa shamba halali la waumini wa EFATHA Linapokwa na ati anajidai ati amekwisha wasiliana na Rais. Hii ni dalili ya ubaguzi wa kidini na tunamwambia Kinana kabla serikali haijazungumzia Sumbawanga imwondoe mwarabu anayenyanyasa watanzania wenzetu kule LOLIONDO NA NGORONGORO Tena afadhali efatha ni watanzania, mwarabu wa LOLIONDO si mtanzania. Ukimaliza hayo muwaondoe wamiliki wa migodi kama ya north mara ambapo watanzania wanaofikia 500 wameuawa na walinzi wa mgodi huo ndani ya kipindi cha miaka 10. Pia maelfu ya watu watapoteza maisha yao kwa vifo vya uchafuzi wa mto TIGITE na MARA. Na maeneo mengine kama Ngega, Mtwara n. ndipo mrudi Sumbawanga. Kinana na ccm acheni siasa za kidini.

Share and Enjoy:

0 comments for this post

Leave a reply

Pata Habari papo kwa hapo
Weka anuani pepe yako hapa ili upate habari punde tunapo ziweka katika EAfrican Blog!
Subscribe via RSS Feed subscribe to feeds
wadhamini
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Popular Posts
Recent Stories
Ukurasa wetu wa Facebook
Wadhamini
Search
Archives
Blog Archives
Recent Comments
Tag Cloud