"Habari zilizopewa uzito"
Habari Mbali mbali

MAKAMISHNA WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA WAFANYA MAKONGAMANO DAR-ZANZIBAR

TANZANIA BARA

Vyama vitatu vya Siasa nchini CHADEMA, CUF na NCCR vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vinawatangazia na kuwakaribisha wananchi wote kuhudhuria Kongamano litakalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Landmark Hotel jijini Dar es salaam leo tarehe 05/04/2014 kuanzia asubuhi saa tatu kamili na kuendelea. Viongozi wote wa vyama vinavyounda UKAWA watakuwepo. Dr Slaa (CHADEMA) Prof. Baregu, na baadhi ya waliokuwa wajumbe wa baraza la Katiba watakuwepo

ZANZIBAR
Kwa upande wa Zanzibar, Makongamano kama hayo yatafanyika Bwawani kesho jumapili ambapo makamishna Ali Saleh, Awadh na wengine watazungumza. kongamano la Zanzibar litarushwa na Redio ambapo Viongozi mbali mbali wanaojulikana kama kamati ya maridhiano akina hassan moyo watazungumza

Share and Enjoy:

0 comments for this post

Leave a reply

Pata Habari papo kwa hapo
Weka anuani pepe yako hapa ili upate habari punde tunapo ziweka katika EAfrican Blog!
Subscribe via RSS Feed subscribe to feeds
wadhamini
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Designed by Cebanet.netDesigned by Cebanet.netDesigned by Cebanet.net
Popular Posts
Recent Stories
Ukurasa wetu wa Facebook
Wadhamini
Search
Archives
Blog Archives
Recent Comments
Tag Cloud